Sep 21, 2013

HII NDIO TANZANIA BANA MASHABIKI WA YANGA LEO KUISHANGILIA MBEYA CITY

HII NDIO TANZANIA TOFAUTI NA UIJUAVYO WEWE LEO KATIKA DIMBA LA TAIFA MASHABIKI WA YANGA WATAISHANGILIA MBEYA CITY KWA NGUVU ZAO ZOTE NA KUSAHAU TOFAUTI ZAO TOFAUTI NA WATU WANAVYOFIKIRIA KUWA YANGA ITAWAPIGA MAWE MBEYA CITY KWANI KWA KAWAIDA HAIJAWI TOKEA MASHABIKI WA YANGA KUISHANGILIA SIMBA HATA IKICHEZA NA TIMU YA KUTOKA NJE YA NCHI


HAWA NI BAADHI YA MASHABIKI WA YANGA

 
HAWA NI MASHABIKI WA SIMBA


 
MWISHO WA YOTE DK 90 ZINAHUSIKA

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA