Oct 22, 2013

PASTOR MMOJA AMEULIWA NA WATU WASIOJULIKANA MJINI MOMBASA.

Kiongozi mmoja wa kidini katika eneo la Malanga kaunti ndogo ya Ganze amepatikana ameuawa baada ya kushambuliwa akiwa Kanisani na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.

Ibrahim Kidata ambaye ni kiongozi wa dini ya kikristo katika eneo hilo amekutwa ameuawa kanisani kwake .

Mauaji ya Pastor huyo yanakuja siku chache baada ya kuuliwa kwa viongozi wa Dini ya Kislaam akiwemo sheikh Ibrahim Rogo na wenzake 3 
Tazama video ya mashuhuda wa kutokea kwa tukio hilo

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA