Jan 28, 2014

MPIGA TUMBA MAARUFU MCD (SOUD MOHAMMED SAID) AMEFARIKI DUNIAKWA MAELEZO YALIYOTOLEWA PUNDE NA MENEJA WA AFRICAN STARS BAND TWANGA PEPETA, HASSAN REHANI, MPIGA TUMBA MAARUFU  SOUD MOHAMMED SAID MAARUFU KAMA MCD AMEFARIKI DUNIA USIKU HUU HABARI KAMILI ZITAFUATA

MUNGU AIWEKE ROHO YAKE PEMA PEPONI

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA