Jan 28, 2014

Waziri Nyalandu apata msosi kwa Mama Lishe



Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akipata chakula cha mchana katika mgahawa wa mamalishe alipotembelea Kijiji cha Ilongelo wilayani Ikungi, Mkoa wa Singida, juzi. Picha na Mpoki Bukuku

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA