May 2, 2014

BOMU LAUA 12 NA KUJERUHI WENGINE ABUJA NIGERIA

Msemaji wa jeshi la polisi inchini Nigeria Frank Mba amesema jumla ya watu 12 wafariki katika mlipuko wa bomu uliotokea leo asubuhi saa :50 kwa saa za Nigeria katika stand ya  tax mjini Abuja.

Pia Mba amesema watu wengine 19 wamejehuriwa katika tukio hilo.

Bomu hili linakuwa bomu la pili kulipuka katika kipindi kifupi kwani siku 16 zilizopita kulitokea mlipuko mwingine uliosababisha watu 70 kupoteza maisha na wengine 200 kujehuriwa vibaya

Rais JONATHAN ametembelea sehemu iliyokubwa na mlipuko 



 


 Rais JONATHAN akimwangalia mmoja wa majeruhi hospitalin
 
 Rais JONATHAN akimwangalia mmoja wa majeruhi hospitalin
 



 


 Hili ndio gari lililobeba bomu
 
magari mengine yaliyohalibika vibaya baada ya bomu kulipuka

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA