May 8, 2014

RAIA WAZIDI KUJICHUKULIA HATUA MKONONI KILA KUKICHA


 KIBAKA AKIUNGUA MOTOHAPA AKIWEKEA KUNI NA MATAIRI TAYARI KWA MOTO

 
HAPA AKIENDELEA KUUNGUA

HII TABIA SIO NZURI YA KUJICHUKULIA HATUA MKONONI KWANI WENGINE WANAKUWA SIO WEZI WAMEFUMANIWA AU WENGINE NI UGOMVI TU WA MTU NA MTU KISHA ANAMWITA MWIZI

VIZURI KUWAPELEKA KATIKA VITUO VYA POLISI WAARIFU KAMA KWELI UNAHAIRA KARI NENDA KAWAPIGE WANAKULA MAMILIONI YA SERIKALI.

Source: Menyanibi 

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA