Jun 18, 2014

BREAKING NEWSSS:NAIBU WAZIRI TAMISEMI ATANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WATAKAOJIUNGA NA KIDATO CHA TANO

 

Nafasi za kujiunga na kidato cha tano mwaka 2014 kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dar es salaam na naibu waziri wa TAMISEMI Bw KHASIM MAJALIWA ambapo zaidi ya wanafunzi 16800 wamekosa nafasi hizo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo upungufu wa shule za kidato cha tano.Akitangaza majina na shule walizopangiwa wanafunzi hao Mh MAJALIWA amesema kuwa jumla ya wanafunzi 54085 sawa na alisimia 75.61 ya wanafunzi 71527 waliostahili kuingia kidato cha tano mwaka huu wamechaguliwa huku wavulana ni 31352 wakati wasichana ni 22733 ambapo ni sawa na ongezeko la wanafunzi 20402 kwa kulinganisha na wanafunzi 33683 walochaguliwa mwaka jana.


Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shule mbalimbali wataanza kuripot katika meneo yao tarehe 10 julai mwaka huu ambapo mwisho wa kufika katika shule walizopangiwa ni tarehe 30 julai mwaka huu ambapo amesema kuwa kwa wale ambao watakuwa hawajiripoti hadi tarehe hiyo nafasi zao zitajazwa na waliokosa nafasi.
1. Wasichana --- Shule Zote  

<<BOFYA  HAPA  KUYASOMA  MTANDAONI>>

  AU

<< BOFYA  HAPA  KUYA  DOWNLOAD>>
 


2. Wavulana --- Majina ya Shule A Mpaka L   


 <<BOFYA  HAPA  KUYASOMA  MTANDAONI>>

AU

 << BOFYA  HAPA  KUYA DOWNLOAD>>


3 .Wavulana --- Majina ya Shule M mpaka Z    


  <<BOFYA  HAPA  KUYASOMA  MTANDAONI>>

AU

  << BOFYA  HAPA   KUYA DOWNLOAD>>

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA