Watoto Mtwara Vijijini waokota bomu na kulichezea, Wanajeshi waja na kulichukua. Ni katika kata ya Mawala huko Mtwara Vijijini, bomu hilo ni la 60mm limeokotwa na watoto wakaanza kulichezea!
askari akiwa amerishika bomu baada ya kulichukua
askari wa jeshi la wananchi wakilikagua bomu
Dar Es Salaam Time
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA