Makamu mwenyekiti UVCCM Taifa Mboni Mhita akimuapisha Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw.Philemon Mollel kuwa kamanda wa vijana UVCCM Mkoa sherehe zilizofanyika juzi jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho
Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw.Philemon Mollel akiapa kuwa kamanda wa vijana UVCCM Mkoa sherehe zilizofanyika juzi jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho
Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw.Philemon Mollel akiwa ameshililia ngao mkuki ishara ya kusimikwa rasmi kuwa kamanda wa vijana UVCCM Mkoa sherehe zilizofanyika juzi jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho
Hapa akiwa anavalishwa taji
Makamu mwenyekiti UVCCM Taifa Mboni Mhita akiwa anaongea katika sherehe hizo za kusimikwa rasmi Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw.Philemon Mollel kuwa kamanda wa vijana Mkoa.Picha na Pamela Mollel
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA