Jun 10, 2014

PROFESA IBRAHIMU LIPUMBA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA NAFASI YAKE KATIKA OFISI YA WILAYA YA KINONDONI


BAADHI YA WANACHAMA WA CUF WAKIWA OFISI ZA WILAYA YA KINONDONI WAKISUBILI KUSHUHUDIA WAKATI PROFESA AKICHUKUA FOMU


GARI YA PROFESA IKIWASILI KATIKA OFISI ZA CUF WILAYA YA KINONDONI

MH: PROFESA AKISHUKA KATIKA GARI HAPA AKIPOKELEWA NA MWENYEKITI WA WILAYA YA KINONDONI NDUGU JUMA MKUMBI PAMOJA NA KATIBU WA WILAYA YA KINONDONI NDUGU MKANDU


HAPA AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALI MBALI WA CHAMA PAMOJA NA WANACHAMA


 


WAGENI WAKISAINI KITABU CHA WAGENI

WANACHAMA WALIOFIKA KUSHUHUDIA UCHUKUAJE WA FOMU

PROFESA AKIWA NA VIONGOZI WA WILAYA

MWENYEKITI WA WILAYA AKIONGEA NA WANACHAMA 
PROFESA IBRAHIMU LIPUMBA AKICHUKUA FOMU KUTOKA KWA KATIBU WA WILAYA YA KINONDONI NDUGU MKANDU

AKIONGEA NA WANACHAMA BAADA YA KUCHUKUA FOMU
 
MWENYEKITI WA KATA YA MAKUMBUSHO RAMADHANI FARAHANI  WA KWANZA KULIA NAE AKIFUTILIA UCHUKUAJI WA FOMU


 


PROFESA LIPUMBA AKISALIMIANA NA DIWANI WA KATA YA MAKUMBUSHO CUF NDUGU ALLY ARUOB ( OBAMA)

MJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI WILAYA BI LEILA AKIWA NA WANACHAMA WA CUF

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA