Aug 3, 2012

NGASA ANZA KAZI NA BOSI WAKE MPYA


 NGASA AKIWA MAZOEZINI NA KLABU YAKE MPYA SIMBA

NGASA AKIWA NA KASEJA MAPEMA LEO

Mrisho Khalifani Ngasa leo asubuhi ameanza rasmi mazoezi na timu yake mpya ya simba sc baada ya jana kumaliziana.

Ngasa ambae hapo hawali alitaka kuzusha mgogoro zidi ya bosi wake wa zamani Azam fc kwa kitendo cha timu ya Azam na Simba kumalizana bila kumshirikisha.

Hatimae Simba walimalizana na Ngasa kwa kukubali kumpa millioni thelathini na gari ndipo Ngasa akakubali kuchezea Simba Sc

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA