Aug 7, 2012

Usajili kamili wa Coastal union kwa msimu wa 2012/13

 Profile Picture

Makipa;
Juma mpongo, Abraham chove na Rajabu Kaumba
Mabeki;
Said sued(c) Mbwana kibacha (vice cpt) Othman omary, Juma jabu, Ismail suma, Jamal machelenga, cyprian Lukindo na Philipp Mugenzi

Viungo;

Jerry santo, Razak khalfan, Mohamed Binslum, Khamis Shango, Mohamed Issa, Mohamed Soud, Suleiman Kassim (selembe), Lameck Dayton, Joseph Mahundi, Aziz Gilla, Shaffih Kaluani

Washambuliaji;

Nsa job mahinya, Atupele Green, Danny lianga, Pius Kisambale

Benchi la ufundi;

Kocha mkuu, Juma Mgunda,kocha msaidizi Habibu Kondo, kocha wa viungo Ally Jangalu na kocha wa makipa Bakari Shime
 Photo: Ukiona picha ujuwe tayari wetu........Leo tumeingia rasmi mkataba wa miaka miwili na Jerry Santo.............He is the best and last signing..............Karibu Tanga na ujisikie nyumbani Jerry Santo...!!! 
Jerry Santo akikabidhiwa jezi ya coastal union


0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA