Linex kusimamia kazi za 'Aunt Ezekiel'
Mwana anayekubalika kwa kuimba katika hisia kali,Linex hivi karibuni
alifunguka na kusema kwamba kwa sasa Aunt Ezekiel atakuwa chini ya Label
yake Voice Of Africa (VOA) na kuhakikisha kazi zake zinasambazwa sehemu
mbalimbali.
Linex ameimbia website ya Times FM "Naweza kusema Aunt nimeona ni mtu
mwenyewe kipaji pia ni mtu mwenye uwezo wa kuimba na ndio maana
nimeamua kumsaini katika Label yangu 'Voice Of Africa (VOA)' lakini
akiwa katika upande wa Filamu atakuwa akijisimamia mwenyewe but kwenye
upande wa Bongo
Fleva nitakuwa ninasimamia mimi pia kwa wale mashabiki
wa Aunt wakae tayari kwa ujio wa ngoma yake mpya"Mguu kwa Mguu' akiwa na
mimi Linex Sunday chini ya producer Mr T Touch
aunt ezekiel
habari na http://timesfm.co.tz
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA