Aug 20, 2013

Fuse ODG kutua Tanzania Septemba 7Msanii kutoka Ghana 'Fuse Odg anayetamba na hit zinazofanya vizuri hapa Africa zinazojulikana kwa jina la Azonto & Antenna, sasa habari nzuri ni kwamba anatarajia kutua Tanzania kwa ajili ya kutoa burudani siku ya Jumamosi tarehe 7 Septemba.

Fuse ODG ni msanii anayeishi Uingereza mwenye asili ya Ghana na amejulikana Afrika nzima baada ya kutamba na wimbo wa Azonto & Antenna.

Tamasha hili limeandaliwa na 100.5 Times Radio Limited.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA