Oct 18, 2013

Lady Jay Dee,Nay wa Mitego, Diamond, Rich Mavoko na Ommy Dimpoz watajwa kuwania tuzo za Nzumari nchini Kenya, Tupogo na Muziki gani zavuka border

Lady Jay Dee,Nay wa Mitego, Diamond, Rich Mavoko na Ommy Dimpoz watajwa kuwania tuzo za Nzumari nchini Kenya, Tupogo na Muziki gani zavuka border

Wasanii watano wa Tanzania wanaofanya vizuri pia Afrika Mashariki Lady Jay Dee, Nay wa Mitego, Diamond Platinumz, Rich Mavoko na Ommy Dimpoz wametajwa kuwania tuzo za Nzumari zitakazotolewa nchini Kenya November 23, mwaka huu.
Nay wa Mitego na Ommy Dimpoz wametajwa kuwania tuzo hizo katika vipengele viwili (Best Artist Tanzania na Best Song East Afrika),huku List ya wasanii hao watano ikiwania tuzo ya msanii bora wa Tanzania (Best Artist Tanzania.).

Nyimbo mbili za Tanzania, 'Tupogo' na 'Muziki gani' zimevuka mipaka na kuchuana na nyimbo nyingine za Afrika mashariki kuwania tuzo ya wimbo bora wa Afrika Mashariki (Best Song East Afrika).
Best Artist Tanzania:
  1. Nay wa Mitego
  2. Diamond
  3. Ommy Dimpoz
  4. Lady Jay Dee
  5. Rich Mavoko
Best Song East Africa:
  1. Muziki gani –Nay wa Mitego ft. Diamond
  1. Mobimba – P- Unit
  2. Badilisha  -Chameleone
  3. Tupogo  - Ommy Dimpoz ft. J-Martins

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA