Natanguliza shukrani kwa mashabiki zangu wa
kweli ambao siku zote nipo kwa ajili yao,kila siku nalala/naamka
jinsi mnavyoipa sapoti nyimbo na video yangu ya number one
ikionyesha ni kiasi gani mko pamoja na
mimi..hivi karibuni nilipata fursa ya kuonana na mwanamziki mkubwa
kabisa Afrika na anaeliwakilisha
vyema kabisa bara letu la Afrika kimziki,..
namzungumzia Davido,kila mtu anafaham uwezo mkubwa alio
nao linapokuja
swala la mziki,na katika kutafuta namna ya kuwapatieni taste tofauti
mashabiki zangu na zaid kukuza mziki wetu
wa Tanzania..tulikubaliana mimi na Davido Tutengeze
number one remix yenye vionjo vya Skelewu na ngololo.
.bila shaka mliokuwepo fiesta mlipata fursa ya kupata kionjo kidogo cha kile
tulichokifanya ...tazama kwanza picha za nyuma ya pazia mimi na
Davido tukiwa studio tukiandaa remix ya number one
Haikuwa kazi ngumu sana kumfundisha baadhi ya maneno
ya kiswahili yatakayohusikandani ya wimbo
ya kiswahili yatakayohusikandani ya wimbo
Ha ha ha...!!kazi ikabaki kwake kuyameza tu......lugha za watu hizi
Kabla ya kuachana ,tukipanga mikakati ya nini cha kufanya baadae
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA