Nov 9, 2013

Maiti Akutwa na Kete 65 za dawa za Kulevya mkoani Mbeya...

Maiti ya kijana Kassim Said Mboya mkazi wa jijini Dar es salaam imekutwa na kete 65 zinazodhaniwa kuwa ni za madawa ya kulevya, maiti ya kijana huyo ilikutwa kwenye basi la kampuni ya Taqwa eneo la Kasulum likitokea Dar kuelekea Malawi.

Baadhi ya picha za tukio hilo

Dactari akichunguza mwili wa marehem huyo

 
Maiti ya kijana Kassim Said Mboya akiwa Chumba cha Upasuaji kuondolewa Dawa hizo

 
Kete inayosadikiwa kumuua kijana huyo baada ya Kupasukia tumboni

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya akitoa taarifa kwa waandishi wa habari hukusu tukio hilo

Kete alizokutwa nazo tumboni kijana huyo baada ya kufanyiwa upasuaji Hosp ya Rufaa Mbeya
 
Kulia ni kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya akiwa amevalia mavazi maalum kwenye chumba cha
kuhifadhia maiti

CHANZO NA http://www.jamiiforums.com


0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA