Dec 23, 2013

TASWIRA ZA MKUTANO WA DK SLAA IGUNGA MJINIKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Igunga mjini jana katika Uwanja wa Barafu wakati akihitimisha ziara ya kuimarisha na kukagua uhai wa chama, mkoani Tabora. Wananchi wa Igunga mjini wakiinua mikono juu wakati Dk. Slaa akiwahutubia jana katika Uwanja wa Barafu mkoani Tabora. 

na.Global Publishers

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA