Jan 13, 2014

Mh Mnyika amekanusha habari iliyotolewa leo na gazeti la Mwananchi kuusu uchaguzi wa chadema kufanyika mwakani

 

Angalizo Muhimu: Mnaojadili habari iliyochapwa katika gazeti la Mwananchi kwamba Uchaguzi wa CHADEMA ni mwaka 2015, zingatieni kwamba si kweli. Mara zote nimesisitiza Uchaguzi utakamilika ndani ya mwaka 2014.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA