PROFESSOR JAY - 3 CHAFU HIII NDIO NGOMA MPYA YA PROFESSOR JAY
Profesa Jay ameachia wimbo wake uliokuwa unasubiriwa na mashabiki
wake. Ni wimbo wa Hip Hop ambao unamuwakilisha Jay Hustle ambaye ni Prof
aliyekuwa underground mwenye hasira miaka ya 1990 kabla hajatoka.
Ndani pia yumo Nigga J aliyekuwa mshindi wa tuzo ya hip hop akiwa na
Hard Blasters Crew (HBC) na Profesa Jay ambaye ni The Heavy Weight MC wa
sasa Mr. 'Kipi Sijasikia.'
Wimbo umefanywa katika studio yake ya Mwana Lizombe chini ya Producer Villy
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA