Apr 3, 2012

CHADEMA YAFANYA KUFURU MKUTANO WA KUWASHUKURU WANA ARUMERU MASHARIKI

Jana chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kilifanya mkutano mkubwa wa kuwashukuru wananchi wa Arumeru masharki kwa kumchagua ndugu Nassar Joshua kuwa mbuge wao katika mkutano huo viongozi mbali mbali wa chama hicho walikuwepo pia wabunge wa chama hicho nao walikuwepo umati mkubwa ulijitokeza kwenye mkutano huo

pichani juu ni mbunge mteule wa Arumeru mashariki ndugu Assar Joshua akiwasili katika uwanja wa shule ya Leganga 

  picha juu ni mbunge wa Arusha mjini ndugu Lema akiwasili katika uwanja wa shule ya Leganga 

 picha juu Ndesamburo akihutubia katika mkutano huo huku maelfu ya wanachama na washabiki wa chama hicho wakishangilia kwa nguvu

 Jasiri ahachi asili mbunge wa Mbeya mjini ndugu Joseph Mbilinyi akitema mistari katika mkutano huu picha zote kwa hisani ya mtandao wa http.issamichuzi.blogspot.com.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA