Jul 19, 2013

BREAKING NEWS: Manchester City yamalizana na Negredo

BREAKING NEWS: Manchester City confirm £21.7m Negredo capture
Manchester City yamnasa ALVARO NEGREDO  wa Sevilla kwa uhamisho uliowagarimu kiasi cha paund 21.7m. 

ALVARO NEGREDO mwenye miaka 27 akiwa amefunga magoli 63 katika mechi 95  alizocheza Sevilla ametambulishwa leo rasmi na kupewa jezi na 9 na boss wake mpya Manuel Pellegrin's ni mchezaji wa tatu kusajiri msimu huu

ALVARO NEGREDO anakuwa mchezaji wa tatu kutoka Sevilla kwenda Man city baada ya Fernandinho na Jesus Navas.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA