Aug 27, 2013

CHAMA CHA WANANCHI CUF KITAFANYA MKUTANO WA HADHARA KATIKA KATA YA KINONDONI TAREHE 30/08/2013

 
CHAMA CHA WANANCHI CUF WILAYA YA KINONDONI KIMEANDAA MKUTANO WA HADHARA KATIKA KATA YA KINONDONI UTAKAOFANYIKA SIKU YA TAREHE 30 /8/2013. UTAKAOANZA SAA 9.00.

VIONGOZI WA WILAYA WANAWAOMBA WANACHAMA NA WAPENZI WA CHAMA CHA WANANCHI CUF KUJITOKEZA KWA WINGI SIKU HIYO YA MKUTANO KWANI MKUTANO HUU UKO KATIKA KUENDELEZA ULE MPANGO WA MCHAK MCHAKA MPAKA 2015 (V4C).

PIA VIKUNDI MBALIMBALI VYA BURUDANI VITAKUWEPO BILA KUSAHAU VIJANA WA FUSO NA WASANII KIBAO WA BONGO FLEVA  WAKIONGOZWA NA KALAPINA MWENYEJI WA KUTANO HUO.

KWANI KATA HIYO NDIO KALAPINA ALIPOGOMBEA UDIWANI KATIKA UCHAGUZI ULIOPITA.