Jan 22, 2014

MBUNGE WA CHALINZE, SAID BWANAMDOGO (CCM) AFARIKI DUNIA



 
     Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake.

HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI)  amefariki dunia!

CHANZO NA GLOBAL 

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA