Oct 18, 2012

MATOKEO YA MECHI ZA JANA LIKU KUU YA VODACOM

Jana timu ya simba ilishindwa tamba mbele  ya timu ya Kagera sugar ya Kagera baada ya kulazimishwa sale ya goli 2-2 dhidi ya Kagea 
kataika mchezo huo simba ndio ilikuwa timu ya kwanza kupata goli kupitia kwa mshambuliaji wake Felix Sunzu katika kipindi cha kwanza .

Hati timu zinakwenda mapumziko Simba ndio walikuwa mbele kwa goli moja na Kagera walikuwa hawajapata goli. Kipindi cha pili kilipoanza Simba tena ndio walikuwa wakwanza kupata goli na kuweza kuongoza kwa goli 2 bila.

Ndipo Kagera nao walipo shituka toka usingizi na kuanza kufanya mipango ya kusawazisha  goli hizo na iliwachukua muda wa  dk 3 tu kusawazisha goli zote 2 dhidi ya Simba  

matokeo kamali ya mechi za jana ni kama ifuatavyo

 Simba 2–2 Kagera 

Prison 0– 0 Azam FC
  
Mgambo 2–0 Toto

 Oljoro 0–0 A Lyon
  
PolisiMoro 0–2 Jkt Ruvu


0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA