Oct 18, 2012

UAMSHO WATOA TAMKO

AMIRI MKUU WA JUMUIA YA UAMSHO ZANZIBAR SHEIKH MSELEM BIN ALLY AMESEMA KUWA WAO KAMA JUMUIA WAMESHINDWA KABISA KUMTAFUTA WALA KUJUA ALIPO SHEIKH FARIDI PIA AMESEMA KUA KUWA HATA JESHI LAPOLISI LINMESHINDWA KUMTAFUTA NA KUJUA ALIPO HIVO BASI AMEWATAKA WANANCHI KUMTAFUTA KIONGOZI WAO
KUTOKA NA KAURI HII HALI INAONEKANA ITAENDELEA KUWA NI TETE.
 SHEKHE FARID AKIWA KATIKA MOJA YA MIKUTANO YA UAMSHO HAPO AKIWA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WA JUMUIYA YA UAMSHO KABLA YA KUPOTEA HAPO JUZI USIKU.

 SHEKHE MUSELEM ALIYETOA TAMKO KUWA WAO WANAWAACHIA WANANCHI WAMTAFUTE SHEKHE WAO FARID.
 HII NDIO NEMBO YA UAMSHO.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA