
Mario Gotze
Klabu ya Borussia Dortmund imeweka wazi kuwa mchezaji wao Mario Gotze amekwisha saini mkataba na klabu ya Bayern Munich
Klabu ambayo atajiunga nayo msimu wa majira ya joto.
Hata napo kutokana na kitendo hicho mashabiki wa Borussia Dortmund wameamua kumuandikia ujembe katika ukurasa wake wa facebook na kumuita ni msaliti.
Kocha Jurgen Klopp na mkurugenzi wa michezo Michael Zorc wamewaasa mashabiki kumunga mkono katika mechi zilizobakia
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA