Apr 24, 2013

SMG aziita timu zote za Ligi Kuu Bara


  
 

WINGA wa zamani wa Yanga SC, Said Maulid ‘SMG’ ameweka wazi kuwa yupo tayari kwa timu yoyote itakayomhitaji kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

SMG kwa sasa yupo nchini baada ya kumalizika kwa Ligi ya Angola msimu huu na kumaliza mkatawake katika timu ya  Bravos  iliyokuwa ikishiriki Ligi Kuu ya Angola ambayo ameitumikia kwa miaka mitano.

Akizungumza na Championi Jumatano, SMG alisema alirudi nchini tangu ligi hiyo ilipomalizika, sasa anasubiri ofa ya timu yoyote hapa Tanzania itakayohitaji huduma yake ili aweze kuitumikia

“Nimeshamaliza mkataba na Waangola na sasa hivi nipo huru kabisa nimeamua kurudi nyumbani, kama unavyojua mpira ndiyo kazi yangu na milango ipo wazi kwa timu yoyote ya nyumbani itakayonihitaji,” alisema SMG.

Said Maulid
Personal information
Full name Said Maulidi Kalukula
Date of birth September 3, 1984 (age 28)
Place of birth Namageni, Tanzania
Height 1.56 m (5 ft 1 in)
Playing position Striker
Club information
Current club Onze Bravos
Number 7
Youth career
1995-2000 Simba SC
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2001-2007 Young Africans FC 196 (50)
2008-present Onze Bravos 52 (32)
National team
2000-2007 Tanzania 14 (0)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of December 29, 2007.
† Appearances (Goals).
CHANZO NA http://www.globalpublishers.info/   

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA