Nov 9, 2013

Audio: Hard Mad aijibu Yahaya ya Lady Jay Dee, aachia wimbo unaoitwa 'Naishi Ghetto' kwa mdundo uleule, usikilize hapa

Audio: Hard Mad aijibu Yahaya ya Lady Jay Dee, aachia wimbo unaoitwa

Maswali ya Lady Jay Dee kwa Yahaya yamemgusa Hard Mard na kuamua kuyatolea majibu.Hardmard ameachia wimbo alioupa jina ‘Naishi Ghetto’ akiwa amejivika u-Yahaya .

Wimbo huo uliotumia mdundo uleule wa hit ya 'Yahaya', umetayarishwa katika studio za Over Classic jijini Mwanza ambapo ni ndipo yalipo maskani ya Hard Mad hivi sasa.

Haijajulikana bado kama Hard Mad aliongea na Jide ama vipi, endelea kufuatilia hapa.

Isikilize hapa 'Naishi Ghetto' 

chanzo na http://www.timesfm.co.tz

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA