May 5, 2014

TAARIFA YA MSIBA SHEKHE ILUNGA HASSAN KAPUNGA AFARIKI DUNIA

Taarifa ya Msiba
Innalillah wainna ilaiyh rajiun
Sheikh Ilunga Hassan Kapungu Amefariki
Mazishi leo Dar es salaam, atasaliwa Masjid Kichangani Magomeni Adhuhur na atazikwa Ktk Makaburi ya Mwinyi Mkuu Magomeni
Allah amjalie Makazi Mema Peponi - Amin 

PICHA YA SHEKHE ILUNGA ENZI ZA UHAI WAKE

HII NI MOJA KATI  YA HUTUBA  ZAKE ENZI ZA UHAI WAKE

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA