Jana usiku timu ya Liverpool ilishindwa kutumia vyema uwanja wake wa nyumbani baada ya kukubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya Fulham kutokana na kipigo hicho Liverpool imezidi kungangania nafasi ya 8 na hivyo kukosa nafasi ya kucheza michuano ya ulaya mwakani
pamoja na timu ya Liverpool kusajiri wachezaji wengi sana mwaka huu na kuwa moja ya timu ambazo mwaka huu zilitumia hela nyingi katika usajiri lakini imeambulia patupu na mashabiki wake wamebaki na sitofahamu juu ya hatima ya timu yao
Martin Skrtel hajui la kufanya akiwa amezidiwa ujanja jana hiyo.
wachezaji wa Fulham wakiwa wanajipongeza baada ya kuifunga Liverpool goli 1-0
John Arne Riise akiwa ameficha sura yake baada kupoteza nafasi
Star wa mchezo wa jana alikuwa BREDE HANGELAND wa Fulham
vikosi vilikuwa kama ifuatavyo
LIVERPOOL: Doni 7, Kelly 6, Coates 6, Skrtel 6, Aurelio 5, Henderson 5,
Shelvey 6, Spearing 6, Maxi 6, Carroll 7, Kuyt 6. Subs: Downing (Henderson
46) 7, Enrique (Aurelio 65) 7, Sterling (Kuyt 76) 6. Not used: Jones,
Carragher, Flanagan, Robinson.
FULHAM: Schwarzer 7, Kelly 7, Hangeland 8, Hughes 8, JA Riise 7, Duff
7, Murphy 7, Dembele 7, Kacaniklic 7, Dempsey 8, Pogrebnyak 6. Subs: Frei
(Kacaniklic 58) 7, Etuhu (Pogrebyak 80) 6, Baird (Dembele 86) 6. Not used:
Stockdale, Briggs, Kasami, Sa.
REF: L Probert 7